Ukiwa Mbali (feat. Nviiri The Storyteller)

Ukiwa Mbali (feat. Nviiri The Storyteller) lyrics

GenreRb
Original languageSW
Views16
Lyrics coordinates

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
18
Sol, generation Merry Christmas to the nation Tulianza mwaka tukiwa wengi Wengine hawakumaliza Tukapanga nayo mipango mingi Lakini chache zikatimizwa Sasa sherehe kwa church wengine kwa bar Count your blessings vile inafaa Ya Mola ni mengi shetani hawezi pangua Salama kwako mama Nairobi kuko sawa Nilipatana na vijana tukaimba Extravaganza Crystal akajulikana, asante Maulana Aki ningeweza mama, nifungue macho nikuone Ukiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje Christmass nile na wewe Ukiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje Nifunge mwaka na wewe Siku hizi kuwa na sherehe bila wewe Mpenzi harakisha usichelewe Nilizaliwa Disemba kama wewe Njoo njoo unibembeleze Moyoni ni mengi ninatarajiaga Na mbinguni na dunia Ili niwe na wewe muda unawadia Njoo nile rhumba na wewe Timing Imeharibiwa na kazi Na sijui nitafanyaje Nichome moja na wewe Niko grinding Na nimekushikia zawadi Yaani, sijui nitafikaje Ningependa nikupe mwenyewe Ukiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje Christmass nile na wewe Ukiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje Nifunge mwaka na wewe Ooh, anywhere you are, Sol Naomba Christmass nile na wewe Ooh, anywhere you are, Sol Naomba Christmass nile na wewe Ukiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje Christmass nile na wewe Ukiwa mbali (mbali mama) Umoja natamani (natamani) Sijui nitafanyeje Nifunge mwaka na wewe Umoja natamani Nivuke mwaka na wewe