Extravaganza (feat. Bensoul, Nviiri The Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini)

Extravaganza (feat. Bensoul, Nviiri The Storyteller, Crystal Asige & Kaskazini) lyrics

GenreRb
Original languageSW
Views16
Lyrics coordinates

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
18
Ayee Rhumba imetamba Sauti Sol inna di area kumechacha Karibuni kwenye Extravaganza Bensoul alipofika alifunika eeh Wakaja na madrama Cinema zetu ni Telenovela eeh Wakasunda mizinga Hawakujua si tuko mavela iyee Wakaita polisi Kumbe polisi pia ni shabiki eeh Wakaficha msosi Wakatupata na dishi mezani Ayee Rhumba imetamba Sauti Sol inna di area kumechacha (kila kona yoyo) Karibuni kwenye Extravaganza Na Nviiri alipofika alifunika eeh Walifunga milango Wakatupata tuko ndani nao, aah Wakaita makanjo Kumbe ni sisi huwalipa salo wowoo Wakazima mitambo Shabiki wakabaki kwenye dance floor Na iwe funzo kwao, aah Tunaongoza wanafuata nyayo Ayee Rhumba imetamba Sauti Sol inna di area kumechacha Karibuni kwenye Extravaganza Na Crystal alipofika alifunika eeh Wakaja na umati Wakageuka kuwa wafuasi Wakaja na majini Wakapata tushazama kwa dini Nywele za kifarasi Lakini si ni moto ya makasi Risasi mwendo kasi Dandieni msiwachwe na basi Ayee Rhumba imetamba Sauti Sol inna di area kumechacha Karibuni kwenye Extravaganza Kaskazini walipofika walifunika eeh Wakaenda kusini Wakajipata wako kaskazini, eeh Wakaja na magigi Lakini si tukaja na muziki, eeh Wowowo, yeah, yeah, yeah Hata wazime taa tutazidi kuparty Wowowo, yeah, yeah, yeah Hizi vitu hazitakangi utiaji Na wakiapisha (tunaapisha) Na wakifunika (tunafunua) Eh wakianika (tunaanua) Na wakisafisha (tunachafua) Ayee Rhumba imetamba Sauti Sol inna di area kumechacha (mama yoyoyoo) Karibuni kwenye Extravaganza Karibuni kwenye Extravaganza Ayee Rhumba imetamba Sauti Sol inna di area kumechacha Karibuni kwenye Extravaganza Karibuni kwenye Extravaganza (Why are you looking for trouble, trouble, trouble?) Hapana rusha mawe kwa police station Kabla uwashe kivela cheki situation Hapana shusha bendera kwa chifu (Why are you looking for trouble, trouble, trouble?) Bibi ya wenyewe is a no-go zone Kabla ukute vitu piga protection Nairobi mwizi utageuzwa jivu (Why are you looking for trouble, trouble, trouble?) Hapana rusha mawe kwa police station Kabla uwashe kivela cheki situation Hapana shusha bendera kwa chifu (Why are you looking for trouble, trouble, trouble?) Bibi ya wenyewe is a no-go zone Kabla ukute vitu piga protection Nairobi mwizi utageuzwa jivu