Anayekula mwili wako

Anayekula mwili wako lyrics

Original languageSW
Views17
Lyrics coordinates

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
18
Anayekula mwili wako, na anywaye danu yako Anaishi ndani yako, ye hatakufa milele Yezu wangu nakuomba, nishibishe na mwilio Nayo damu yako ninywe, japo sistahili mimi Ndani yangu mwokozi yumo, kwa mwili na damu yake Ni rafiki yangu kweli, name sitamwacha kamwe Alikuja kutuokoa, tuliokuwa dhambini Kwa kifo chake msalabani, naye katupa uzima Yezu wangu unibariki, nifundishe njia zako Nipe moyo wa shukrani, nitembee nawe leo