Skai Milele

Skai Milele lyrics

Original languageSW
Lyrics coordinates

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
18
Miaka yangu haitakuwa hivi milele bado inasoga Sitakuwa na sura mzuri milele Siku moja itazeeka Miguu yangu haitakuwa na nguvu ya kutembea milele Siku moja nitashindwa kutembea Macho yangu haitaona hivi milele Siku moja nitashindwa kuona Wacha nifanye kila kitu sai nitembee Sai niogee na watu Sai nifurahie Sai sitaishi milele Siku moja nitazeeka alafu nikufe skai Milele mimi ni mpita njia tu dio Maana najipeda sana leo kuliko kesho Sitakuwa na, sitakuwa kijana milele Haitakuwa kadem milele Haitakuwa mama milele Haitakuwa baba milele Unazeeka Kupumua vizuri ni huruma ya Mungu Wangapi wanapewa pumzi hospitalini wengi sana Kukula ni furaha na furaha ni baraka Mawe, mchanga dio inaishi milele Sisi wengine wote watu, mimea, wanyama Tulitoka kwa mchanga Tutarudi huko kwa mchanga Miaka yangu haitakuwa hivi milele bado inasoga Sitakuwa na sura mzuri milele Siku moja itazeeka Miguu yangu haitakuwa na nguvu ya kutembea hivi milele Siku moja nitashindwa kutembea Macho yangu haitaona hivi milele Siku moja nitashindwa kuona Wacha nifanye kila kitu sai nitembee Sai niogee na watu Sai nifurahie Sai sitaishi milele Siku moja nitazeeka alafu nikufe skai Milele mimi ni mpita njia tu dio Maana najipeda sana leo kuliko kesho