Anthem of Savannah

Anthem of Savannah lyrics

Original languageSW
Views117
Lyrics coordinates

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
18
Shujaa Unasafirini kwa matakwa ya watu wako Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa Mwishowe mnaunguweni tena majivuni Mwishowe mnaunguweni tena majivuni Ukuu ukuu Kwa wanao ona yajayo Tutaimba wimbo wa mwanga moto, usiku wa giza (Mwanga na moto wetu) Matakwa ya watu wako Unachagua vita kwa jina la Shujaa Mwishowe unaunguwa kwaajili ya ndoto Mwishowe unaunguwa tena majivuni Unasafirini kwa matakwa ya watu wako Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa Mwishowe unaunguwa moto kwaajili ya ndoto Mwishowe unaunguwa tena majivuni Unasafirini kwa matakwa ya watu wako Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa Mwishowe unaunguwa moto kwaajili ya ndoto Mwishowe unaunguwa tena majivuni Utukufu A shujaa Geuka kama alfajiri