Hino da Tanzânia

Hino da Tanzânia lyrics

Duration6:20
Original languageSW
Views4.1K
Lyrics coordinates

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
18
Mungu ibariki Afrika Wabariki Viongozi wake Hekima Umoja na Amani Hizi ni ngao zetu Afrika na watu wake Ibariki Afrika Ibariki Afrika Tubariki watoto wa Afrika Mungu ibariki Tanzania Dumisha uhuru na Umoja Wake kwa Waume na Watoto Mungu Ibariki Tanzania na watu wake Ibariki Tanzania Ibariki Tanzania Tubariki watoto wa Tanzania