Dua

Dua lyrics

Original languageSW
Views18
Lyrics coordinates

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
18
Aya Rabi takabari dua Amina (We don kiwango) Ya Rabbi itikia dua Amina Ya Rabbi takabari dua Amina Ya Rabbi itikia dua Amina We kila siku me naomba dua Irudi tena Yamoto Band Na namuombea Harmonize Asimcopy diamond Roma naona hajakoma Naomba atekwe tena Harmorapa azae na Wema Na Manfongo abahatishe tena Shoro Mwamba ache kuimba anitazamie mbwa nyumbani Mondi amtibie Ruge yaishe wawe kama zamani Rayvanny arudi Tip Top maana kule ndo nyumbani Kiba ashinde Diamond karanga apige picha hadharani Basi ya Rabbi takabari dua Nakuomba itikia dua Ya Rabbi takabari dua Mi nakuomba itikia dua Basi ya Rabbi takabari dua Ah nakuomba itikia dua Ya Rabbi takabari dua Mi nakuomba itikia dua Yani dua langu dura lipenye Likafike mpaka temeke Mkubwa Fella na kusemwa kote Kukuza vipaji asichoke Dua lisiishie hapo Mpaka kwa majizo lifike Apeleke singeli internationally Na sisi tuheshimike Dua lifike kitandani alipo lala Mwarabu Fighter Kila akivuta shuka ahisi Nasibu anamwita Dua lipenye mtandaoni tupate kustajabika Kwenye page ya mbosso Khani nione Rukia kachafuka Dua kwa baba chong'e lisije likamkorofisha Baba Aah Dulla kaleta barua, aah barua ikarudishwa Dua kwa Dimpozi Omary afya izidi kujengeka Aje atoe ngoma nyingine Baba, Steve Nyerere azidi kuuguka Basi ya Rabbi takabari dua Nakuomba itikia dua Ya Rabbi takabari dua Mi nakuomba itikia dua Basi ya Rabbi takabari dua Ah nakuomba itikia dua Ya Rabbi takabari dua Mi nakuomba itikia dua Nani mwenye kamera anipige mafoto Nauliza nani mwenye kamera achukue video Wanangu nani mwenye kamera anipige mafoto Wemakizube nani mwenye kamera achukue video Waitee, nauliza nani nani (humo humo) nani We mtupisi nani nani (nani) We siso nani nani, nani nani Kidete nani nani, nani nani We jito la mtunga meno ya duka Jito la mtunga meno ya duka Analiona jito la mtunga meno ya duka Mamamama we jito la mtunga meno ya duka Wakiinama wanatamani maji ya kisima Wakiinuka wanatetemeka mwili mzima Wakiinama wanatamani maji ya kisima Wakiinuka wanatetemeka mwili mzima We tetema mwili mzima (tetema) mwili mzima We tetema mwili mzima (tetema) mwili mzima Jiachie mwili mzima (tetema) mwili mzima We jirushe mwili mzima (tetema) mwili mzima Basi twende niwaambie, niwaeleze Wanangu niwaambie, niwaeleze Haya maji ya kunywa tunauziwa Ya kwa dumu tunapewa bure Mamamamama wika Haya maji ya kunywa tunauziwa Ya kwa dumu tunapewa bure Basi kila mtu acheze kivyake Acheze kivyake Kila mtu aruke kivyake Aruke kivyake Basi piga goma, weka goma We Nasiso piga goma, weka goma We mwanangu piga goma, weka goma Watoto wa Magomeni Kagera Wananiitaga King Makabila