Magufuli Baba Lao

Magufuli Baba Lao lyrics

Original languageSW
Views3
Lyrics coordinates

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
18
(It's S2kizzy beiby) (Ayolizer) Magufuli baba lao (baba lao) Joseph baba lao (baba lao) John Pombe baba lao (baba lao) Magu baba lao (baba lao) Eeeh Ma Samia mama lao (mama lao) Majaliwa baba lao (baba lao) Bashiru baba lao (baba lao) CCM chama lao Kona kwa kona, chocho tuchocho Kwa wakubwa mpaka watoto Magu anazidi pamba moto Wapinzani matumbo joto Mmechoka eti? (Aah wapi) Mnataka lala? (Aah wapi) Wapinznai watatuzidi? (Aah wapi) Wataweza huu muziki? (Aah wapi) Sasa twende kisa mjini sambamba Magu anazidi bamba Anafufua na viwanda Ndege zetu tunapanda Wataweza kweli? (Aah wapi) Kushindana nasi (aah wapi) Hata wakiungana (aah wapi) Matusi kututukana (aah wapi) Magufuli baba lao (baba lao) Joseph baba lao (baba lao) John Pombe baba lao (baba lao) Magu baba lao (baba lao) Eeeh Ma Samia mama lao (mama lao) Olepole baba lao (baba lao) Mzee Mangula baba lao (baba lao) CCM chama lao Majib Selema Hadija Selema (selema) Wananchi wamesema Tunashinda tena (eeh tena) Wanadhani kura mseleleko Eeeh tunawakwepa Watabaki masononeko Eeeh tunawacheka Kwanza kunja gaju (eeh kunja gaju) Nikupe mikakati (eeh mikakati) Ameleta mwendo kasi Barabara juu na kati Eeh shule za kata (ni bure) Sekondari (ni bure) Hospitali (ni bure) Kwa wazee (ni bure) Sisi twashinda tena Sisi CCM twashinda tena eeh Magu anashinda tena Magu Magu anashinda tena eeh Samia anashinda tena Mama Samia anashinda tena Sisi twashinda tena Sisi CCM twashinda tena eeh Magufuli baba lao (baba lao) Joseph baba lao (baba lao) John Pombe baba lao (baba lao) Magu baba lao (baba lao) Eeeh Makonda baba lao (mama lao) Eri James baba lao (baba lao) Juma Mabogi baba lao (baba lao) CCM chama lao Mzuka ukipanda Na hili shati navua (acha uongo) Mzuka ukipanda Na hili bukta navua (acha uongo) Jamani navua (acha uongo) Mama navua (acha uongo) Mwenzenu navua (acha uongo) Eeeh kuna basata Basi napiga Yope (huwezi) Ooh napiga Yope (huwezi) Magu napiga Yope (huwezi) Ma Samia napiga Yope (huwezi) Eeh, eeh, eeh, eeh, eeh Eh, eh, eh, eh, eh, eeh Wabunge napiga Yope (huwezi) Madiwani napiga Yope (huwezi) Wajumbe napiga Yope (huwezi) Wenyekiti napiga Yope (huwezi) Eeh, eeh, eeh, eeh, eeh Eh, eh, eh, eh, eh, eeh