Kuachana Shingapi (remix) (feat. Platform Tz, Lody Music & Barnaba)

Kuachana Shingapi (remix) (feat. Platform Tz, Lody Music & Barnaba) lyrics

Original languageSW
Views20
Lyrics coordinates

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
18
Aanh Mo power Ndege kageuka bundi (JM) Oya wew (on the truck) Mapenz mapenzi yalimtesa babu Lakini bado aliweza survive Labda nikupe habari sasa nimekua Mambo ya kutesana nayajua Hata utoke na danga (ujanikomoa) Hata utoke na baba yangu (ujanikomoa) Hata utoke na darngote (ujanikomoa) Hata ugeuke uwe chawa wake (ujanikomoa) Yanini kupeana ngebe eti niende kuroga Eti niforce unipende hatujazaliwa pamoja Mapenzi miba senyenge nkupashe shoga Hauwezi kupanda embe lije kuota boga Kwani kuachana shi ngap? Kuachana bei gani? Kwani kuachana shi ngap? Kuachana bеi gani Kwani kuachana shi ngap wew? Kuachwa bei gan Kwn kuachan shi ngp wew Mapеnzi sio mchezo yanaumiz zaid Inabidi uwe na pesa ili uya faidi Ndo maan sishangai ex wangu alinikataa