Ndoa (feat. Khadija Kopa, Juma Kakere & Malkia Karen)

Ndoa (feat. Khadija Kopa, Juma Kakere & Malkia Karen) lyrics

GenrePop
Original languageSW
Views5
Lyrics coordinates

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
18
Wanangu vipi baba, mbona kimya baba Uliahidi jambo, mbona kimya baba Mambo ya ndoa umefikia wapi baba Mambo yako ya ndoa umekwama wapi niambie Nimezunguka dunia mzima Dunia kiganja baba, nimeyaona mengi Ya walimwengu wanasema Bora uchague mpenzi, tofauti na enzi Wanafanana kwa sura matendo baba niko hoi eeh Unayempenda na kumwaza anamwaza meingine Bila pesa umaarufu mwonekano baba we hung'oi eeh Na kwa dunia ya sasa, nioe wapi pengine Dunia hadaa hilo baba utambue Muda unaenda hilo uzingatie Mweke Maulana mbele mambo yatimie Dhamira yako ya kweli, nayo ajalie Baba ooh baba ooh, daddy ooh (baba) Najua una hamu sana (mwana) Ndoa ooh, ndoa ooh, ndoa ooh Ya mi mwanao kuiona Kaza roho, kaza roho, dua njema Atajibu Maulana Mke mwema aah Atakuja tu baba Ayee (ayee) Ndoa eeh (nuia baba) Sijamuona wa kuoa eeeh (utaoa mwanangu) Ayee (ooh ayee) Ndoa eeh (nuia baba) Sijamuona wa kuoa eeeh Ng'aa tena dafaradhi Kumhalalisha mwanangu Kwangu mimi ni heshima Nikimwona mkwe wangu Kudanga danga si kwema Kwa leta laana mwanangu Leo Ali kesho Juma Hebu tuzao twangu Mama wakitongoza wanataka kuvua na nguo Ah tumejuana leo, anataka kunivua nguo eeh Wanaume wa sasa, suruali kushuka eeh Mama niombee kwa Mungu Nipate mwema niweze sitirika Leta mjukuu nimwoe, aje anikojolee Ooh, ooh Mama ooh, mama ooh, mama ooh Najua una hamu sana Ndoa ooh, ndoa oooh, ndoa oooh Ya mi mwanao kuiona Kaza roho, kaza roho dua njema Atajibu Maulana Mume mwema aaah Atakuja tu mama Ayee, ndoa eeh (nuia mwana aah) Sijamuona wa kunioa eeh (ooh nuia mwana aah) Ayee, ndoa eeh Sijamuona wa kunioa (sijamuona wa kunioa eeh) I say mama ma, mama, mama Ayee, ndoa eeh Sijamuona wa kunioa (sijamuona wa kunioa eeh) Utampata baba ano kuridhia Nataka nicheze eeh, mwanangu Siku hiyo wanione eeh, mwanangu eeh Nikate, nikate, kwa furaha yangu wee eeh