I Found A Love (feat. City Boys)

I Found A Love (feat. City Boys) lyrics

GenrePop
Original languageSW
Views1
Lyrics coordinates

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
18
Nakutumia salamu, Tafadhali pokea Tena nachunga kwa hamu, message yakurudiya Please ufahamu, moyo wangu una kuliliya Na nakuchunga kwa hamu, nachoka ku vumiliya Asa nani nimpende, we ndo baby wangu Fanya urudi nyumbani, kuishi peke siwezi hee Asa kipi nitende, ili urudi kuwa wangu baby niko tabani Hee kuishi peke siwezi hee Njo unikoe mama