Shangilia

Shangilia 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수6
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Ayolizer Kibe, Kibe (Kibee) Kibe ni mshindi mwingine (Kibee) Kibe kutoka CCM chama Sio chama kingine (Kibee) Kibee Kibee (hee! Kibee) Ameshinda mwingine Kutoka chama kubwa chama Sio chama kingine Ooh! Wazanzibar (shangilia shangilia) Hussein Mwinyi (rais Kashachangulia) Kwa hii hali yetu Aendeleze ilani ya chama Zanzibar yetu Ye kaja kuinyanyua Hussein Mwinyi Mikono salama Ye ataendeleza mazuri yake sheni Utawala bora Utawala bora uchumi na amani Kwa bashasha Natamka Hussein Mwinyi Rais wangu Sijalazimishwa, sijashurutishwa Nimemchagua kwa kura yangu Ooh! Wazanzibar (Shangilia shangilia) Hussein Mwinyi (Rais Kashachangulia) Mchapa kazi mzalendo Mlinzi wa muungano wetu Wanamapinduzi yetu Hongera rais wetu Rais nani? Rais Nani? Ni hussein Mwinyi Hatoki Ikulu Mpaka miaka kumi Eeeh! Zanzinbar daima mbele Kwa bashasha (kwa furaha) Natamka (natamka mimi) Hussein Mwinyi rais wangu Eeh! Hongera Rais wangu Sijalazimishwa, sijashurutishwa Nimemchagua kwa kura yangu Ooh! Wazanzibar (Shangilia shangilia) Hussein Mwinyi (Rais Kashachangulia)