Hakuna Kulala

Hakuna Kulala 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수31
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Lala lala lala lala lala lala Lala lala lala lala Mmhh! Mmhh! Namvuta faraghani Tumo tumo ndani Namtazama simuishi Namkanda mambavuni Kayainua majeshi Vita nichague mimi Aanze bangladesh Amalizie sudan Twanozana hatosheki Kaniweka kifuani Hatingishiki haruki Yuu hoi wa taabani Nampa na vya kurithi Na mizungu ya kigeni Hakuna kulala (eeh eh!) Hakuna kulala (lala lala lala) Hakuna kulala asubuhi itukute Hakuna kulala (mi na weewe!) Hakuna kulala Hakuna kulala na machweo yatukute Mmhh! Siwezi kuficha hisia Maradhi yataniumbua Mizimu inayonijua Kanila kanimalizia Mbora katimiliki Kwa pasi za resiresi Hapitagi njia fupi Shortcut ye za nini? Nampa na vya kurithi Na mizungu ya kigeni Hakuna kulala hakuna kulala Hakuna kulala asubuhi itukute Hakuna kulala hakuna kulala Hakuna kulala na machweo yatukute Laadha yaako Ladha yako Ladha yako Ni taam Nitam nitam Nitam sana