Namchukia

Namchukia 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수5
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Uzuri si hadidhiwi nayaona Haya aapa nayaona Mabaya yako kwa macho yangu nayona Sio kwamba napenda kuwa kin'gan'ganizi tatizo mazoea Nime kuzoea sidhani kama ntapona Napiga simu namba inatumika kila dakika Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka Roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake Wallahy namchukia kumfahamu najutia Wallahy namchukia kumfahamu najutia Unayo fanya siunaona uko sawa basi kazana Si unapenda hivi navyo lia na ku n'gan'gana Haujuwi ustaarabu unacho juwa ni kufoka na kutukana Nahivi nilivyo bubu mama kanifunza nidhamu ni kukaa kimya Sio kwamba napenda kuwa kin'gan'ganizi tatizo mazoea Nime kuzoea sidhani kama ntapona Napiga simu namba inatumika kila dakika Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka Roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake Wallahy namchukia kumfahamu najutia Wallahy namchukia kumfahamu najutia