Tiga Wana

Tiga Wana 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수26
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Willy, Willy, Willy, Willy, Willy, Willy Willy, Willy, Willy, Willy Msaafii Willy Pozee ako wapi? Ako apo Namba Nane ako wapi? Niko apa Willy Pozee ako wapi? Si tuko apaa Nikicheza ngoma iwe ngoma noma Nikisoma neno iwe neno noma Nikipiga wera iwe wera noma Devo akileta shida T-W Tiga wana we (noma) Tiga wana we (noma) Tiga wana we (noma) Mili-mili-mili-milima na mabonde nimepitia re Nikisukuma neno la bwana re Nazo chuki re, nazo chuki re, nazo chuki re (ee-eeh) Okay tiga wana weh (pepo) Okay tiga wana weh (pepo) Okay tiga wana weh (aeeh) Lord I want to praise you every single day I want to love you every single day I want to praise you every single day (Pause, kama kawa) Nikicheza ngoma iwe ngoma noma Nikisoma neno iwe neno noma Nikipiga wera iwe wera noma Devo akileta shida T-W Tiga wana we (noma) Tiga wana we (noma) Tiga wana we (noma) Mmh Namba Nane Size 8 AKA Mama Wambu Ni kweli mi napiga neno (eehh) Tiga wana weh (devo) Tiga wana weh (devo) Tiga wana weh Tiga wana weh Tiga wana Kitu moja ndani ya millioni Ata mabilioni, ata matrilioni (iihh) Nipende Baba, Usije nilenga Baba Fungua milango Baba (aiyayayah) Lord I want to praise you every single day I want to love you every single day I want to praise you every single day (Pause, kama kawa) Nikicheza ngoma iwe ngoma noma Nikisoma neno iwe neno noma Nikipiga wera iwe wera noma Devo akileta shida T-W Tiga wana we (noma) Tiga wana we (noma) Tiga wana we (noma)