가사 좌표
SW원문 가사
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Nimezaliwa katika familiya
Iliyo zalauliwa sana
Maisha magumu sana hayo
Ndio Nimepitiya
Nilithamani sana kujiua lakini
Habikuwezekani
Matajiri waliponiona
Wakauliza mtoto huyu ni wanani
Waliniceka Nilicekelewa sana
Nami nilikuwa naona walikuwa
Na Sababu
Ulikubali ukamuaga Damu yako
Juu ya Mimi Mtu bure Mtu bure
Muanadamu mwenye dhambi
Oh, oh Neema yako Niliona
Neema Yako na Upendo ni ya ajabu
Asante kwa Damu yako imeniokowa
Sijui niseme nini mbere zako baba
Asante kwa yote olionitendeya
Njaa kiwu na machozi
Huzuni, kuhukumiwa na wengi
Na majaribu mengi
Hapo ndipo, umunitoa ukanipandisha
Historiya yangu yote ikabadilika
Bila wewe baba
Mimi ningekuwa wapi
Bila upendo wako ningekuwa mbari
Bira wema na fadhili zako
Baba ningekufia gizani
Ulikubali ukamuaga Damu yako
Juu ya Mimi Mtu bure Mtu bure
Muanadamu mwenye dhambi
Oh, oh Neema yako Niliona
Neema Yako Na Upendo ni ya ajabu
Asante kwa Damu yako imeniokowa
Sijui niseme nini mbere zako baba
Asante kwa yote olionitendeya




