가사 좌표
SW원문 가사
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Hivi bado nakumbuka
Nikiwa kijana
Ile bangi nilivuta
Pombe nilipewa kwa sana
Na wasichana walinipenda
Wengine walinikataa
Na hapa nilipoamka
Sikulala jana
Napiga densi usiku kucha
Vijana kwa wasichana
Na masiri zilipasuka
Wengi walizaana kwa sana
Na vijana wengi walikopa deni
Wapeleke slayqueen maskani
Wakatoanishwa bila kuonjeshwa
Wasaniii tuliponea
Naomba, naomba nizidi kijana
Naomba, naomba nizidi kijana
Naomba, naomba nizidi kijana
Won't you set me free nizidi kijana
Kaja Facebook kaja Twitter
Kaja pia na Instagram
Wengi walibwaga mioyo
Na picha za kupende sana
Na walitesa tesa
Wazungu wanasemanga
Ati business and pleasure
Inasaidinga wazae kupunguza pressure
Vijana under pressure
Wasanii tuliponea
Naomba, nizidi kijana
Naomba, nizidi kijana
Naomba, nizidi kijana
Won't you set me free nizidi kijana

