가사 좌표
SW원문 가사
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Shamba la babu, nalima
Nivune muhogo na shina
Ni weh tambarale mwa milima
Kufika kilele lazima
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana, nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina muda wa kum chiti wala
Eeh
Nipo nyonyo, nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono, nipo fiti
(Aah, nimejaa tele)
aah nipo nyonyo, nipo titi
(Aah nimejaa tele)
Nalishwa vinono, nipo fiti
(Aah nimejaa tele)
Sitaki chupa ya soda baby niletee energy
Wajue upo na mimi watumie meseji ah
Mi hoi lege lege nitupie kwa bedi
Kabisa n'garagaze, mpaka ni dead
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana, nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana, lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina muda wa kum chiti wala
Eeh
Nipo nyonyo, nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
(Aah, nimejaa tele)
aah nipo nyonyo, nipo titi
(Aah nimejaa tele)
Nalishwa vinono, nipo fiti
(Aah nimejaa tele)




