Hayawani

Hayawani 가사

원문 언어SW
조회수14
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Kabla Suala ukamilishe mama Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu yangu simu Asahau alivyonipenda! Ooo Hayawani Hayayayaya Hayawani hawa si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama Hayawani, hayawani Hayawani, hayayayaya Hayawani, hayawani Hayawani, hayayayaya Tunaongezea nini bidii? Na roho ya mwanadamu haitosheki aki I'm sorry if I never made you happy I can't be there for everybody It's easy to see Wengi huishi kutafuta kasoro kwako Why man so money minded You wanna take from everyone Man eat man society Huoni haya kuvunja familia Hamna utu ni kujifikiria Woii binadamu wote mmegeuka Hyawani Hayayayaya Hayawani hawa si watu hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama Hayawani, hayawani Hayawani, hayayayaya Hayawani, hayawani Hayawani, hayayayaya Kabla Suala ukamilishe mama Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamie Chuki wivu tunakutesa Linda kwako usiwaskie Kwa nini hatuwezi sote kupenda Oii wenzangu acha niwaambie Labda si sote wendawazimu Labda laana yetu pesa Kesho ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema Kesho wapigie demu yangu simu Asahau alivyonipenda! Ooo Hayawani Hayawa Hayawa Hayawa