Shoga

Shoga 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수2
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Ninaulizwa mimi na wewe mbona hatuelewani Wakati urafiki wetu kila mtu anaufahamu Ila leo lazima niseme Kuwa wewe ni mzushi tena muongo Na kumbe una lako jambo Uliponishauri niachane naye Hata wewe, hata wewe Hata we shoga yangu, hata wewe Hata wewe, hata wewe Hata we shoga yangu, hata wewe Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana Sikutegemea, ungenigeuka tena bila aibu Umenikosea Inaniuma sana ulivyonitenda Tuone furaha yako itaishia wapi Sikutegemea, ungenigeuka tena bila aibu Umenikosea Inaniuma sana ulivyonitenda Tuone furaha yako itaishia wapi Hata wewe, hata wewe Hata we shoga yangu, hata wewe Hata wewe, hata wewe Hata we shoga yangu, hata wewe Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana Nitapata wapi rafiki mwema Kila rafiki adui tena Nakula nawe, nacheka nawe Nikikupa chongo ndo unanisema Hata ukisema vibaya (Sawa) Niombee mabaya (Sawa) Kunja roho mbaya (Sawa) Moyoni nina Jesus power (Power) Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana Inasikitisha, inasikitisha Inasikitisha, sikitisha sana