Nahisi (feat. Walid)

Nahisi (feat. Walid) 가사

원문 언어SW
조회수15
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Nahisi ka tushaonana zamani Sura si ngeni naikumbuka kwa mbali Na si kwa ulevi ila nayalaumu macho yangu Naomba unikumbushe jina lako ni nani? Ha! Nimesharealize you are beatiful sexy When I close my eyes, I see your face For the first time nahisi kwenda mitandao Before kumeet mlimani City ni we wanao Then tukaenda klabu ukawa unapita pita Unanipima kiuno na mbavu nikawa nashika shika Nikaomba uwe wa ubavu ukawa unasita sita Unanipa mdomo na shavu nikapiga lita Alafu ukaondoka mamacita Nahisi ka tushaonana zamani Sura si ngeni naikumbuka kwa mbali Na si kwa ulevi ila nayalaumu macho yangu Naomba unikumbushe jina lako ni nani? Huh, kuna siku pale kwenye bucha, nakuita unang'ata kucha Ukayeyusha basi sijalala usiku kucha Pandisha pedo pusha, aah-ah nyonga zungusha Unaonekana kitandani huwezi niangusha Umenidilute, soda na chai Sikupi nafasi unitese ka najinyonga kwa tai fupi Unakaa mtaa upi? Au pale Kailuki Ulipokuwa na mama cookie Ile siku ulikuwa na nywele ndefu, unacheza peku Unazungusha unaringa Nilikutamani upajue kwetu uonane na bibi yetu Ila nikakuita ukaringa Nahisi ka tushaonana zamani Sura si ngeni naikumbuka kwa mbali Na si kwa ulevi ila nayalaumu macho yangu Naomba unikumbushe jina lako ni nani? Nahisi ka tushaonana zamani Sura si ngeni naikumbuka kwa mbali Na si kwa ulevi ila nayalaumu macho yangu Naomba unikumbushe jina lako ni nani?