Sitamani

Sitamani 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수4
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Sifikirii mangapi nafanya Kukuridhisha baba we Sitamani kuwa na we tena tena (aah) Na vile minimefundwa vyema Nikavumilia kua nawe Nimeamini wahenga lisema sema (aah) Vyema kupenda ukipendwa Penda unapopendwa mpendwa Usiyependa usipopendwa mpendwa aah Sitamani tena kupenda Nilishapenda na kutendwa Sitopenda nisipopendwa tena aah Sitamani, sifikiri Usidhani, kuwa nami Kukupenda nikupende boy Ila ukaniona mi kama kolo Unavyotaka sitoweza boy Mifupa siwezi mwenzio kibogoyo Kukupenda nikupende boy Ila ukaniona mi kama kolo Unavyotaka sitoweza boy Mifupa siwezi mwenzio kibogoyo Vyema kupenda ukipendwa Penda unapopendwa mpendwa Usiyependa usipopendwa mpendwa aah Sitamani tena kupenda Nilishapenda na kutendwa Sitopenda nisipopendwa tena aah Sitamani, sifikiri Usidhani, kuwa nami Sitamani eeh, yeah, yeah Sitamani eeh Sitamani eeh, yeah, yeah Sitamani eeh Vyema kupenda ukipendwa Penda unapopendwa mpendwa Usiyependa usipopendwa mpendwa mpendwa Sitamani tena kupenda Nilishapenda na kutendwa Sitopenda nisipopendwa tena tena tena Sitamani, sifikiri Usidhani, kuwa nami S2kizzy baby