Mama Amina (feat. Sho Madjozi & Bontle Smith)

Mama Amina (feat. Sho Madjozi & Bontle Smith) 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수12
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Shii, Shii Wangu moyo unauminya Ma Amina wee, unauminya Wangu moyo unauminya Ma Amina wee, unauminya Ah Mama Amina Mama Amina wee, shii Chomeka aah, chomoa aah Mwenzako nawashwa shwa Chomeka aah, chomoa aah Mwenzako nawashwa shwa Vile kanakatikati patam (eeh patam) Mechi zile zimepasi pasi na utam (eeh na utam) Wangu moyo unauminya Ma Amina wee, unauminya Wangu moyo unauminya Ma Amina wee, unauminya Ah Mama Amina Mama Amina wee (Sho Ma) Kama ona sisi yoh ba yo Tena sisi oh my moh Kama tunazidi more by more Itabidi 4 by 4 Kama ona sisi yoh ba yo Tena sisi oh my moh Kama tunazidi more by more Itabidi 4 by 4 Wangu moyo unauminya Ma Amina wee, unauminya Wangu moyo unauminya Ma Amina wee, unauminya Ah Mama Amina Mama Amina wee Sho Madjozi Bontle Smith Wangu moyo unauminya Ma Amina wee, unauminya Wangu moyo unauminya Ma Amina wee, unauminya Ah Mama Amina Mama Amina wee