Sorry

Sorry 가사

길이2:54
원문 언어SW
조회수59
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
m nex ulikuwa ni mpenzi wangu, na moyo wako haukuwa mbali na mi nilidhani utakuwa wangu, na ndoto zangu zinafeli yani siamini hata uki-post, naona unanisema mimi, naishi kwa kujishuku na wala sio mbali, ni juzi tu, ulikuwa na mi tulipiga picha wewe na mi, penzi likashamili na kila kukicha wewe na mi, walituona wawili Oh baby! Sorry! , sorry! Sorry! Oh now i'm worrying, worrying, worrying Oh baby sorry, sorry, sorry Oh now i'm worrying, worrying, worrying namiss zile snap chat ulinitumia, video call night ulinipigia namiss tabasamu lako, sio utani naumia mwenzako na utakua unafeli kama ukinichunia, sms haujibu ata nikikutumia so fanya tuyajenge mana nimekosea, i promise, siwezi kurudia tulipiga picha wewe na mi, penzi likashamili na kila kukicha wewe na mi, walituona wawili Oh baby! Sorry! Sorry! Sorry! Oh now i'm worrying, worrying, worrying Oh baby sorry, sorry, sorry Oh now i'm worrying, worrying, worrying It's a trap house records