Mi Amor (Part 2)

Mi Amor (Part 2) 가사

연도2023
장르Pop
원문 언어SW
조회수4
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Mhh Iyeiih Mhh Ni Vampk (Realtym musik) 254 Lalalalaa Mhh Sijifikirii Kile ninawaza ni mapenzi ya TV Iyeeiyeiyeeeh We ndo habibi Chombo chajiuza hauhitaji CV Mhh Nitukane ntavumilia Ukitaka nipige Bora usije nikimbia Kuna kabet nimeekelea We subiri tushinde Dunia nitakubuyia You are my kipande Every Sunday I'll pray Ili usiniache one day Monday mpaka Friday Ntaja nikukande Hata kaweekend ntastay (Mi amor) Tabasamu lako ni dawa Linaniponya (Mi amor) Sina mwingine ni wewe tu (Mi amor) Hisia zangu zinanipanda Nikikuona (Mi amor) Sina mwingine ni wewe tu Tabasamu lako Na sura yako Umbo lako, nimenogewa (Nimenogewa) Na sio vako Nimedata kwako Nipe siri zako, ntakuekea (Ntakuekea) Nina kuahidi, milele Nitakushikilia Na kwenye baridi Nitakufunikia Nitajitahidi mahitaji Nieze kukutimizia Hata ikibidi, nguo ntakufulia You are my kipande Every Sunday I'll pray Ili usiniache one day Monday mpaka Friday Ntaja nikukande Hata kaweekend ntastay (Mi amor) Tabasamu lako ni dawa Linaniponya (Mi amor) Sina mwingine ni wewe tu (Mi amor) Hisia zangu zinanipanda Nikikuona (Mi amor) Sina mwingine ni wewe tu Tabasamu lako ni dawa Linaniponya (Mi amor) Sina mwingine ni wewe tu (Mi amor) Hisia zangu zinanipanda Nikikuona (Mi amor) Sina mwingine ni wewe tu