Natamani Kuwa Malaika

Natamani Kuwa Malaika 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수7
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Natamani kuwa malaika Natamani tena kurudi nyuma Natamani kuwa kama zamani Natamani kuwa kama mtoto Moyo wangu mweupe kama theluji Siyawazi mabaya wala chuki duniani Tabasamu hata kwa adui, kuishi bila kulipa bill Nikilia nabembelezwa sio sasa napezwa Nikichoka tembea nabebwa kila kitu mimi nafanyiwa Malaika, mtoto ni malaika Natamani kuwa malaika Natamani tena kurudi nyuma Natamani kuwa kama zamani Natamani kuwa kama mtoto Kama mimi nisingekuwa mkubwa Katu nisingejua ada za dunia Majukumu nisingefikiria, kulala muda ninaoamua Stress zisingenifika, majaribu nisingepata Machungu nisingehisia kama hii leo nisingekuwa Natamani kuwa Malaika ooh Natamani kuwa malaika Natamani tena kurudi nyuma Natamani kuwa kama zamani Natamani kuwa kama mtoto Ooh Nasema ukubwa raha lakini mzigo mkubwa Ukubwa jalala Kila unavyozidi kuwa manyang'au yakutamania Kutamania kukulavua Natamani kuwa malaika (ooh natamani) Natamani tena kurudi nyuma (sana sana) Natamani kuwa kama zamani (zamani ooh) Natamani kuwa kama mtoto (mtoto mtoto)