Hujanikomoa

Hujanikomoa 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수4
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Nafsi inasema subiri Moyo unakataa nenda Nimeziona dalili Ipo siku nitadema Maana kila yakidhiri Yana jirudia tena Mi mwenzio na dalili Mimi siwezi kupona Labda alinionaga mimi tahira Sina mbele na sinaga dira Akashindwa rudisha majira Kasahau na zile fadhila Labda si wewe Tulokula wote, mpaka tukasazaga Labda si wewe Tulokuwa tukipendana na kuchezaga Roza dunia mapito wowo Nakueleza haya yatapita woo Roza dunia mapito wowo Nakuleza haya yatapita woo Haya, mwenzako mimi hujanikomoa Haya, ni kama akili umeifungua Haya, mwenzako mimi hujanikomoa Haya, ndo kwanza akili umeifungua mama Kama penzi lingekuwa nguo Ningelivua nikalitupa mbali mawe Maana nimekosa hadi chaguo Nimefanya mema ninapigwa mawe Maajabu ya Musa Fimbo kawa nyoka eti ananitisha Na alisha nisusa Nami nashukuru bora amenishusha Ilipofika inabidi Nizoee baridi wowoo Leo nalitua penzi Roza dunia mapito wowo Nakueleza haya yatapita woo Roza dunia mapito wowo Nakueleza haya yatapita woo Haya, mwenzako mimi hujanikomoa Haya, ni kama akili umeifungua Haya, mwenzako mimi hujanikomoa Haya, ndo kwanza akili umeifungua mama