Kembo

Kembo 가사

앨범Ya...
연도1998
장르Pop
길이3:36
원문 언어SW
조회수1.1K
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
unaniaca unaenda tena nabaki apa mimi peke yangu watoto, watoto wanaliya usiende... kembo, kembo, kembo... watoto wanaliya...wewe "napashwa" wandugu wanaliya... ni wewe "napashwa" ata mama yako analiya "napashwa" mimi bibi yako naliya usiende na sorrow nitangoja...kembo. "usiende na sorrow tutangoja" usiende na sorrow tutangoja...kembo. watoto wanaliya...hood !!! "unapashwa" wandugu wanaliya...hood !!! "unapashwa" ata mama yako analiya "unapashwa" mimi bibi yako naliya usiende na sorrow nitangoja... kembo... kembo...kembo...