Nimpende

Nimpende 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수21
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Mmmh mmh aah ah (Wambaga made it) Eh kutwa namwomba Mungu anijalie Maumivu mbali yanipitie Maana hayaeleweki haya, hayasomeki mapenzi Nami nimpate wa kwangu atulie Mwenyewe tu nijisevie Maana hayaeleweki haya, yamejaa u-fake mapenzi Na yasiwe ya kupostiana, na vikopakopa kwa mitandao Tena n'choresha, tena nogesha Chonde asiwe ya kufokafoka, mwisho yakaniacha na stress kibao Adeke na kun'chekesha, mvua ikinyesha yeh, eeh Asije ninyanyapaa, awe mkweli tu asijeongopa Mwenzenu kuteswa naogopa aah Asiwe na mipasho kama Khadija Koppa Tupendane, wasimteke Vibopa Yasiwe ya Konde na Wolper ah, kila siku michambo Nataka nimpende, anipende nami nimpende Anipende yaani nimpende eeh Nataka nimpende eh, mwenzenu nataka nimpende Anipende, nami nimpende, anipende yaani nimpende, anipende eeh Anionyeshe upendo mpaka nijisahau Yeah eh, mmh lololoh mmh Mi nakuna kuna, mi nakuna kuna ooh Mmmh mmh Na asiwe wa kususasusa hata nikimwambia twende tukaoge Asiseme nikaoge mwenyewe, mwenyewe Na yangu asijeipangusa akili yangu, mwisho aikoroge Awe Harmo nitakacho nipewe, nipewe mmh Awe yangu medali aah aah Kwa kila hali na mali Yaani ntakesha kwa Mungu nitasali Aah mabaya yasikupate, amwepushe Na kitandani asiwe bonge, atamaliza godoro Atulie, asimalize chochoro Nisimfume, usiku wa kiza totoro Yeh eeh tena asije ninyanyapaa Awe mkweli tu asijeongopa Mwenzenu kuteswa naogopa aah Asiwe na mipasho kama Khadija Kopa Tupendane ka Rika na Choppa Yasiwe ya Konde na Wolper ah, kila siku michambo Nataka nimpende, anipende nami nimpende Anipende yaani nimpende eeh Nataka nimupende eh, mwenzenu nataka nimpende Anipende, nami nimpende, anipende yaani nimpende, anipende eeh Anionyeshe upendo mpaka nijisahau Chinga, Konde Music Worldwide Mmh eh mmh eh (the mix, the mix) Chinga, Konde Music Worldwide Mmmh mmh