Kucheka

Kucheka 가사

원문 언어SW
조회수4
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Ninavingi vya kusema wajue Ukweli kuhusu mimi Umati kwa umati wajue Kuhusu mimi Yalonikuta wajue Porojo wasiamini Zaidi waniulize mimi Wajue eeh Ma radio mbao kwa mtaa zinatangaza Habari kwa mtandao zinatapakaa Yao ni miduru nimepoteza, nimekuwa teja Hali yangu iliumiza ndugu na jamaa Amani nikawa sina kwa ukoo wa Rabana Eeh Mola wabariki wanaoniombea mema Maana nilimiss kucheka Muda wote simanzi tu Nilimiss kucheka Muda wote maswali tu Jamani, nashukuru mageni Niliyaona mageni Nashukuru mageni Niliyaona mageni Hakuna anayependa kuishi kwenye hali Nimekubali ya banga kulewa tena bwi chakari Na silaumu walokuzawadi ukawa nami Wamefanya msaada nipate na leo niko fiti Ma radio mbao kwa mtaa zinatangaza Habari kwa mtandao zinatapakaa Yao ni miduru nimepoteza, nimekuwa teja Hali yangu iliumiza ndugu na jamaa Amani nikawa sina kwa ukoo wa Rabana Eeh Mola wabariki wanaoniombea mema Maana nilimiss kucheka Muda wote simanzi tu Nilimiss kucheka Muda wote maswali tu Jamani, nashukuru mageni Niliyaona mageni Nashukuru mageni Niliyaona mageni God blessing, am back to life! Hakuna anayependa kuishi kwenye hali Kwenye maisha kuna mengi nimepitia Nafurahi kuwashukuru wote walonisaidia Na silaumu walokuzawadi ukawa nami Wamefanya msaada nipate na leo niko fiti Sijawahi kuona upendo kama huu God bless you, am back to life aah!