Bora

Bora 가사

장르Rb
원문 언어SW
조회수1
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Ulisema unaenda Kusalimia mama yako na baba Wiki tumeshakonda Unarudia analofunza janaba Kama ushafanya konda Na mie nipige debe niwe zobe Wasije wakanibonda Ni mimi ndo nimiminiwe mashaka Heri kipofu Haoni chochote kinachoendelea Hata kiziwi Rahisi kutetwa kinachoongelewa Ila mimi naona nasikia Naumia navumilia Penzi kitanzi kinaua Usivute utamalizia aah Ni bora, nikuvumilie Wacha tu mengi niambiwe Ni bora, oooh acha iwe bora Ni bora, nikuvumilie (bora) Acha tu mengi niambiwe Honey acha iwe oooh Kuna siku utakuja kukata mizizi yote Iliyoshikilia moyo wangu, wewe mtoto Huku na huku utakuta sina nguo zote Wa kulipigania penzi langu, we mtoto Huko mwenzangu anasakata rhumba Mi huku mengi yananikumba Na siku nikikosa vumba Ugomvi penzi linaruba Heri kipofu Haoni chochote kinachoendelea Hata kiziwi Rahisi kutetwa kinachoongelewa Ila mimi naona nasikia Naumia navumilia Penzi kitanzi kinaua Usivute utamalizia Ni bora, nikuvumilie Wacha tu mengi niambiwe Ni bora, oooh acha iwe bora Ni bora, nikuvumilie (bora) Acha tu mengi niambiwe Honey acha iwe oooh Ahee ahee, aiyaya Ahee ahee, aiyaya Ahee ahee, aiyaya Ooh Ahee ahee, aiyaya Ahee ahee, aiyaya Ahee ahee, aiyaya Aiyayayaya Ni bora, nikuvumilie Wacha tu mengi niambiwe Ni bora, oooh acha iwe bora Ni bora, nikuvumilie (bora) Acha tu mengi niambiwe Honey acha iwe, ooh