Mwanga

Mwanga 가사

길이11:24
원문 언어SW
조회수99
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Taa ya miguu yangu Nuru ya njia yangu (Wewe ni Mwanga wangu) Nuru yang'a gizani Giza halitoliweza (Wewe ni Mwanga wangu) Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Taa ya miguu yangu Nuru ya njia yangu (Wewe ni Mwanga wangu) Nuru yangu gizani Giza halitaliweza (Wewe ni Mwanga wangu) Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Na hatua zangu waziongoza (Wewe ni Mwanga wangu) Nitembeapo sitajikwaa ah (Wewe ni Mwanga wangu) Na hatua zangu waziongoza (Wewe ni Mwanga wangu) Nitembeapo sitajikwaa ah (Wewe ni Mwanga wangu) Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Wewe ni Mwanga Wa nyakati zote Wewe ni Mwanga wangu Angaza (Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana) Yeah angaza (Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana) Sema angaza (Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana) Eeeh angaza (Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana) Eeeeh (Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana) Angaza (Angaza shusha shusha utukufu wako eh Bwana)