Mapenzi Basi

Mapenzi Basi 가사

원문 언어SW
조회수7
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi Basi sitaki Yalinifanya nikaugua Mara napanga napangua Mwili ukakonda nikapungua Ah sikulala, sikulala Oh maradhi nikaugua oh Yakanichoma na kuungua roho Kutwa nawaza na kuwazua Sikulala Hayo mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nshagombana, nikatukanwa Lakini akanipiga teke Ai haya mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nkagombana, usiku mchana Yeye Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi Basi sitaki Oh nilishagombana na mama mzazi Akataka nimwagia radhi Sababu yule fulani, yule wa moyo wangu Yakaleta zengwe kwa kazi Ugomvi wa simba na panzi Vurugu kwa majirani Ah, ee Mola wangu Hayo mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nshagombana, nikatukanwa Lakini akanipiga teke Ai haya mapenzi bwana, hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nkagombana, usiku mchana Yeye Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi Basi sitaki