Lala Salama

Lala Salama 가사

원문 언어SW
조회수33
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Lala salama Matatizo, chuki, lawama Ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Na kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu Uki-ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Matatizo, chuki, lawama vumilia mpenzi wangu Najua wivu ndo mapenzi, ila chunga usizidi Si unajua kwako sijiwezi, ila dhiki mmebidi Mi nilitamani sana mi kuwa nawe Tuwe wote usiku na mchana Kilichonifanya mi nipagawe Sina chochote cha kuwalisha wana Niliupokea kwa unyonge msiba wa kaka Bonda Ile barua yako ya mwisho ilinitonesha vidonda Usije nilali kipenzi changu Ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe Mambo bado magumu kwangu Afadhali hata ya jana, ya kesho niombee Ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Na kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu Uki-ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Matatizo, chuki, lawama vumilia mpenzi wangu Ile kua uone, nilidhani maghorofa Ah, ah kumbe mwana ukome, hakuna cha kuokota Mi bado nakaza moyo changu kipenzi Ila naumia kwa kuwa mwenyewe Natamani ila siwezi, nazitafuta nije kula na wewe Msalimu mama nyumbani, usiseme kama nahenya Tai, mfiche mpe imani, karibu ntakuoa chema Usije nilali kipenzi changu Ukadhani nimekumbwa na pepo la starehe Mambo bado magumu kwangu Afadhali hata ya jana, ya kesho niombee Ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Na kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu Uki-ukilala lala salama, kumbatia picha yangu Matatizo, chuki, lawama vumilia mpenzi wangu