Zodoa

Zodoa 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수1
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Abbah you make my day This is Barnaba boy classic (Abbah) Na Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa! Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa! Sifa ya mwanaume kutunza Mwanamke ni wanja Mwanamke anapigwa na kanga kaka Msingi wa nyumba kiwanja Kuku hachinjwi na panga Mume hawezi kuwa danga dada Awe mnene mwembamba, mweusi inahusu Kimbau mbau ana shepu Hajui kubusu Vinate uvinyonge Hawatapiriki Hata ukiwa ukweli Wao wanafeki Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa! Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa! Eeh, dunia ya sasa ina mambo, ina mambo Kwako mpya kwa mwenzako kitambo, kitambo Nabadilisha kwa kutwa kama fulana Si wanaume, kumbe mpaka wasichana Kuna mambo, ebo! Awe mnene mwembamba, mweusi inahusu Kimbau mbau ana shepu Hajui kubusu Vinate uvinyonge Hawatapiriki Hata ukiwa ukweli Wao wanafeki Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa! Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo Ni macho kodo, mmekodoa!