One Million Love

One Million Love 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수2
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
This is Barnaba Boy Classic If loving you is a mistake You are my favourite mistake I love you boo boo And this is for you, listen to me Usitafute mganga Kwa maradhi ulo beba Zidisha mahaba tu mmh Mara saba ulikonipenda Iwe zaidi ya jana Binafsi nakupenda Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu Ama utangaziwe nakupenda Pasi na wewe mi sio mzima Nakupenda mpaka kiama Habari zitangazwe Pasi na wewe sijalala Usingizi waniruka Aaii nakupenda Damu yako ichanganywe na yangu Kisha ipimwe Jibu litakuja lile lile Sababu twapendana Tazama macho yako Na yangu yakitazamana Umejaa kwenye roho yangu Ooh my love mama Kuna muda napata Goosebumps Ukiniita tu Vipi tukibaki wawili, oooh I can't control myself When I am with you beiby When am with you sugar, aiii Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu Maneno na shida Tulizopitia leo iyee Ningelikuwa sina upendo Tusingeifikia leo eh eh My love eh I call you my hunny bunny (yesa) My sugar baby ooh I call you my hunny baby (My sugar baby boo boo, boo boo boo) Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu Wewe mmoja zaidi ya mamilioni Mbele ya macho tena sioni Asali wa moyo ni wewe tu, wewe tu, wewe tu Wa ubavuni uko wewe tu, wewe tu, wewe tu