Isweke

Isweke 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Nikwambie nini? Nakupenda pekee halitoshi Nimezama, wewe ndoano Mie samaki naye karibia chambo Kama maji yakiwa mtungini Niseme nini? Na uko akilini yeah eeh Kama wanitongoza Najiuma uma najing'ata vidole Haiba ya upole yanijaa Utadhani msichana Ooh mie wako Mfungwa gereza la mapenzi Pingu za nini? Na uko akilini yeah eeh Kama wanitongoza Najiuma uma najing'ata vidole Haiba ya upole yanijaa Utadhani msichana Beiby Zile mambo za kufosi mapenzi Wakati haupendwi mimi sinaga Mimi sinaga Mmmh Alhamdulillahi Situmii mudende (Isweke) Nimejaliwa jembe (Isweke) Kuna muda nalima (Isweke) Kuna muda navuna (IIsweke, Isweke) Mara vumbi la kongo (Isweke) Korosho kidogo (Isweke) Pweza twende migo migo (Isweke) Izo mambo sinaga (Isweke, Isweke) Zile mambo za kulipa room Kwa nyumba za wageni showtime sinaga Zile mambo za huyu wa kudumu Pembeni vidumu izo mambo sinaga Eti kibao kata kwa Wanjala Sare kwa Kajala hizo hanaga Zile mambo za danga Dubai Mume yuko Manzese wangu hanaga Kama maji yakiwa mtungini (Nimepoa) Niseme nini (Nimelowa) Na uko akilini iyeee eeh Kama wanitongoza Najiuma uma najing'ata vidole Haiba ya upole yanijaa Utadhani msichana Ooh mie wako Mfungwa gereza la mapenzi Pingu za nini? Na uko akilini yeah eeh Kama wanitongoza Najiuma uma najing'ata vidole Haiba ya upole yanijaa Utadhani msichana Beiby Zile mambo za kufosi mapenzi Wakati haupendwi mimi sinaga Mimi sinaga Mmmh Alhamdulillahi Situmii mudende (Isweke) Nimejaliwa jembe (Isweke) Kuna muda nalima (Isweke) Kuna muda navuna (Isweke, Isweke) Mara vumbi la kongo (Isweke) Korosho kidogo (Isweke) Pweza twende migo migo (Isweke) Izo mambo sinaga (Isweke, Isweke)