Uhakika

Uhakika 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수21
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Sijakosea, hii ndio picha yako Navuta taswira insta post zakogo Unakumbuka Jenny text zako Ulivyonijoboaga Unanitext ukiwa na shida zako Ambao unaombaga haya Halafu unaona simple tu Umegundua sijafika huko, unanionea Bora niwe muwazi naonaga majibu yako Yanakatisha tamaa Najaribu kufikisha, ukweli wa dhamira yangu Unabullshit mamaa Halafu unadai vile vitu ambavyo sina Mie kupata natamani Eti nikupe wewe wazazi wanateseka Walonileta duniani Bora niwe mshamba wa mapenzi Niwafurahishe wazazi nyumbani Nitaishi kwa namba ila tambua we na mi Urafiki wetu wa ukubwani Mwenzako nimefikaa Umenipokea unanipa na kazi malipo siyaoni Nataka uhakika Umenisajili kwa show time au ndo siku zote Mwenzako nimefikaa Umenipokea unanipa na kazi malipo siyaoni Nataka uhakika Umenisajili kwa show time au ndo siku zote wewe Najua maisha yako yana furaha tupu Najua kosa lako huombi msamaha Naona siku zote we uko bored Au maisha yako hayataki furaha Kama kuna njia, ya kukufanya Wewe unipende sana Ilaa una nia, ya kunifanya Mimi niwe mnyonge Si nasikia mapenzi ya selo leo Lakini ni mateseo niumie Wala hii skendo ya kuitwa mama lio Atanielewa na kesho nitulie Bora niwe mshamba wa mapenzi Niwafurahishe wazazi nyumbani Nitaishi kwa namba ila tambua we na mi Urafiki wetu wa ukubwani Mwenzako nimefikaa Umenipokea unanipa na kazi malipo siyaoni Nataka uhakika Umenisajili kwa show time au ndo siku zote Mwenzako nimefikaa Umenipokea unanipa na kazi malipo siyaoni Nataka uhakika Umenisajili kwa show time au ndo siku zote wewe
B2K Mnyama의 다른 곡

B2K Mnyama의 다른 곡

B2K Mnyama →