Hakuna

Hakuna 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수8
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Mmmh sina hali iii Nakosa furaha mwenzako Usiku silalagi kabisaa Namisigi joto lako Tafadhari ii Fikiria maamuzi yako Utakuja kuniua kwa mawazo Mwana wa mwenzako Naona nadondokaa Maisha yana yumba yumba Sina pakushika Basi rudi mama mwenye nyumba eh Nakama ukiipata barua Uisome na kutumaa Ewe njiwaa ewe njiwa eeh Peleka salamu kwa mpenzii hihii Ewe njiwaa ewe njiwa eeh Mwambie memiss kishenzii hihii Nasema hakuna kama wewe (Hakuna, hakuna, hakuna) Mmmh wakwangu mimi mwenyewe (Hakuna, hakuna, hakuna) Unavumilia shida na raha eeh (Hakuna, hakuna, hakuna) Basi nisameheehee (Hakuna, hakuna, hakuna) We ndo wapekee Sizani kama nitapataa Wakuja kunishikaa Na nika pumzikaaa kama wee Wenzangu naona wananenepa Mwenzako me nakondaa Mifupa inatokaa nisamehee Kwangu beki wamekabaa Wamegoma hata kucheza ndondo ooh Na wee ndoi kocha wa mahaba Nashangaa umenipiga kumbo ooh Na zile shombo za pakaa Sizitaki tena hata kidogoo dogoo Naona nadondokaa Maisha yana yumba yumba Sina pakushika Basi rudi mama mwenye nyumba eh Nakama ukiipata barua Uisome na kutumaa Ewe njiwaa ewe njiwa eeh Peleka salamu kwa mpenzii hihii Ewe njiwaa ewe njiwa eeh Mwambie memiss kishenzii hihii Nasema hakuna kama wewe (Hakuna, hakuna, hakuna) Mmmh wakwangu mimi mwenyewe (Hakuna, hakuna, hakuna) Unavumilia shida na raha eeh (Hakuna, hakuna, hakuna) Basi nisamehehee (Hakuna, hakuna, hakuna) We ndo wapekee We ndo wapekee