Jini Kisirani

Jini Kisirani 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수66
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
kama upepo pepea kunifata mimi shoga ee na kama bifu nmebobea hata uende kuroga eeh na maneno unaongea kumbe una nguvu za soda eeh kazi kunisema kwa watu ukiniona unazuga eeh kugombana na mm bado naona km unanuka baba bado facebook twitter huzijui bado ata insta live huijui bado unapenda jinadi kujikuta unajua kumbe mambo bado achana nami mwenzio long time mpaka leo gado jini kisirani we ni jini kisiran yanakupanda we ni jini kisirani wakikugusa yanakupanda eeh wakikuchokonoa eeh yanakupanda jichungeee usifate zangu nyayo ukifata zangu nyayo utapiga sana miayoo kwnza unanionaje kila siku mm ninapanda bei unachunda we ntantarira zako zitakuponza wee Badamu batamwagikamwagika na utazoa mwenyewe Ukizileta zitapangikapangika nikuache upangue (mwenyewe) Kugombana na mm bado naona kama unanuka baba bado Facebook twitter huzijui bado Ata insta live huijui bado Unapenda jinadi kujikuta unajua kumbe mambo bado Achana nami mwenzio long time mpaka leo gado Jini kisirani We n jini kisirani Wakikugusa yanakupanda eh Wakikuchokonoa yanakupanda eh Jini kisirani Jini kisirani We ni Jini kisirani