Kadogo

Kadogo 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수19
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Yooh, 001 aah, aah ah Iyo iyo iyo yeah Kadogo kanapenda keroro Keroro, keroro Kadogo kanapenda keroro Kembamba kadogo Kanapenda keroro Nikamuuliza, anatoka 254 Mombasa kwa wanjanja janja Ananikosha roho She must be there She would be there Wouh wo kadogo dogo Mnawakataa machali Mnawataka mamanzi Mnanikulia vako sio (Eeh baba) Mnawataka maboys Mnawakata wadosi Mnanikulia vako sio (Eeh baba) Mnawakata machali Mnawataka mamanzi Mnanikulia vako sio (Eeh baba) Mnawataka maboys Mnawakata wadosi Mnanikulia vako sio (Eeh baba) Kadogo kanapenda keroro Keroro keroro Kadogo kanapenda keroro Kembamba kadogo Kanapenda keroro Akaja bongo aah Akaja akaja bongo keroro Akitwika anayumba yumba keroro Naskia am in love sio kidogo Anaweza love ananikosha Kwa vile, vile Anavyodance aah Ananikosha She must be there She would be there Wouwo kadogo dogo Mnawakataa machali Mnawataka mamanzi Mnanikulia vako sio (Eeh baba) Mnawataka maboys Mnawakata wadosi Mnanikulia vako sio (Eeh baba) Mnawakata machali Mnawataka mamanzi Mnanikulia vako sio (Eeh baba) Mnawataka maboys Mnawakata wadosi Mnanikulia vako sio (Eeh baba) Kadogo kanapenda keroro Keroro keroro Kadogo kanapenda keroro Kembamba kadogo Kanapenda keroro Kadogo kadogo dogo Kananimalizaa Kananikosha rohoo rohoo Kadogo kadogo dogo Kananimalizaa Nikosha rohoo Rohoo yangu weeh