Christmas Njema

Christmas Njema 가사

장르Regional
원문 언어SW
조회수2
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
He broke my heart on a Christmas Day Ila huu mwaka sio machozi Nisha pata mwingine But it's hard to go through a Christmas Day Bila kuwaza yalo pita Japo yupo mwingine Ku kumbuka sio kupenda Na tena yupo atakaye futa kumbu kumbu Ku kumbuka sio kupenda Na tena yupo ay, ay, ay Christmas Njema Happy New Year Hata hasira sina tena Hata hasira sina tena Tuli kutana January Valentines in Mombasa February July kanipeleka kwa wazazi Nika dhani twapanda ngazi Kumbe yuanitania Kaweka kovu Kwenye siku kama hii Ku kumbuka sio kupenda Na tena yupo atakaye futa kumbu kumbu Ku kumbuka sio kupenda Na tena yupo ay, ay, ay Christmas Njema Happy New Year Hata hasira sina tena Hata hasira sina tena Ulini ya hidi mapenzi Nishoe ukani pa kitenzi Haya mapenzi ya kishenzi Pona kumtendea mwenzi Ulini ya hidi mapenzi Nishoe ukani pa kitenzi Akili leo ni sikukuu Anita ruka ruka true Christmas Njema Happy New Year Hata hasira sina tena Hata hasira sina tena