Njiwa

Njiwa 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数17
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Wily wily wily willypozee Na nandy dandy Kama utaenda angalia pa kutua Kwenye bati au bustani ya maua Mwambie nampenda ananisumbua Mwambie nampenda japo kauchubua njiwa Peleka salamu salamu zangu Me sina khali naona mawingu Nyota nyota mwezi kizunguzungu Khali sio shwari haki ya Mungu Nimeshazama kwenye penzi naweza sema nimepagawa Mwambie sijiwezi oh Where are you njiwa Njiwa njiwa Mwambie sio chakula tu hata maji me sinywi Mpaka anatuma watu kina Jose Mbilinyi Na hizo kauli zake tu ananikata maini Anacheza karata tatu hata aniamini Nimeshazama kwenye penzi waweza sema nimepagawa Mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa Nimeshazama kwenye penzi waweza sema nimechachama Mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa