I Love You

I Love You 歌詞

ジャンルPop
時間3:34
原文言語SW
閲覧数1.3K
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Ilikuwa safari ndefu yenye mateso Machozi, mizigo, vikwazo ooh Ila yote umenitua Naomba penzi letu lisife kesho Ukanipa presha, mawazo ooh Chonde mama utaniua Na vile hujui kununa, fundi wa kudeka Hata sijakutekenya unacheka Ooh, tambua ushaniteka Hata bila chakula nanenepa, my love Salama nikiwa na wewe Hata kama nina shida nasahau Sura kama malaika Na wala hauringi kwa dharau Lawama acha nipewe Nitoke duniani angalau Kuliko ukanyanyasika Hilo mpenzi usahau Me oh, oh, oh (ah eh) Mi amor (ah eh) My love (ah eh) Te amo (ah eh) I love you I love you Baby, I love you I love you I love you (minakupenda sana) I love you (usiniache mama) Baby, I love you (me oh) I love you Sura ya mama, umbo lawama Una ya bia miguu Unanichanganya ukiinama naangalia tattoo Nipakulie chakula mama sikomi Asubuhi, mchana mpaka jioni Michezo unaijua mama msomi Pini kitovu, kifua na sikioni Salama nikiwa na wewe Hata kama nina shida nasahau Sura kama malaika Na wala hauringi kwa dharau Lawama acha nipewe Nitoke duniani angalau Kuliko ukanyanyasika Hilo mpenzi usahau Me oh, oh, oh (ah eh) Mi amor (ah eh) My love (ah eh) Te amo (ah eh) I love you I love you Baby, I love you I love you I love you (minakupenda sana) I love you (usiniache mama) Baby, I love you (me oh) I love you