Ngwalakadile Kuwa

Ngwalakadile Kuwa 歌詞

時間3:31
原文言語SW
閲覧数146
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Nimewaona wengi baba waliye kutumaini Mungu ukawafariji, ata yakobo aling'ang'ana Na wewe mungu ukambariki, ata mi mungu Nakutumaini maombi yangu uyasikiye maono Yangu uyatimize mungu, kila siku napenda Nikuimbie mungu lakini sina chakulipiya Ata hapa nilipo sina nguvu mungu naomba unitie nguvu nimalize safari Mungu ni nfariji kwa wale waliochoka Mungu ni nfariji huuuu Mungu ni nfariji kwa wale waliochoka Mungu ni nfariji huuuu But I alone I'll never gain I need your aid evermore You bless me I need accomplish my good dreams Jesus is my favorite place Tabu ya dunia hii bila wewe natawezaje Naimba nakutumaini mungu, natafuta Maisha nakutumaini sana, nifariji mungu Nisije kukuacha, ooo nifariji mungu nisije laumu Na nakuomba umfariji na yule Mungu ni nfariji kwa wale waliochoka Mungu ni nfariji huuuu Mungu ni nfariji kwa wale waliochoka Mungu ni nfariji huuuu Asante