BAR (feat. Femi One)

BAR (feat. Femi One) 歌詞

ジャンルAfrobeats
原文言語SW
閲覧数2
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Bar Baby twende kwa bar, bar Bar Twende kwa bar, bar Baby twende kwa ba ba baba yako Nipeleke kwa ba ba baba yako Sherehe kwa bar, bar Vinywaji kwa bar, bar Baby twende kwa ba ba baba yako Baba yako Aisha, unahatarisha maisha Baba yako hunitisha Ndio maana mi hupita kwa dirisha Yeah, yeah Aisha, nimekufuata hadi kwa kanisa Misa imeshika Ama ni zangu zimeshika Usiogope kunionyesha vile unanipenda Imani nimeweka kwako Ungejua vile nimekupenda mami ehh, oh Usiogope kunionyesha vile unanipenda Imani nimeweka kwako Ungejua pale nimekueka mami ehh, ehh Baby twende kwa ba ba baba yako Nipeleke kwa ba ba baba yako Sherehe kwa bar, bar Vinywaji kwa bar, bar Baby twende kwa ba ba baba yako Baba yako [Femi One] Nikiwa mdogo ulikuwa unaningoja bu Pale kwa bustop Miaka ikasonga na sa umejenga kabu Kabungalow kako Harusi, kanisa, alafu reception ni ba Baada ya hapo Ambia baba honeymoon tunaenda ba Bang bang bang bang Bangkok Usiogope kunionyesha vile unanipenda Imani nimeweka kwako Ungejua vile nimekupenda mami ehh, oh Usiogope kunionyesha vile unanipenda Imani nimeweka kwako Ungejua pale nimekueka mami ehh, ehh Baby twende kwa ba ba baba yako Nipeleke kwa ba ba baba yako Sherehe kwa bar, bar Vinywaji kwa bar, bar Baby twende kwa ba ba baba yako Baba yako