Yuda

Yuda 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数27
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
(Kimambo on the Beat) Nimemyosha wangu Yuda Vyake vitamu najipakulia Kungwi nimefundo Wake ma ex ndo wanaumia Walisema limevunda Sasa jikoni ndo linanukia Ye ndo wangu kiti Tena hachoki nikimkalia Na tena siku hizi nanenepa nanawiri Yamenoga mapenzi na yameshamiri Anipa vidogo na vikubwa tamu sio shubiri Nyumbani kumenoga huniponza mwili Ananilete chumbani, nikoleze wangu hunnie Tunacheza kibaba mama, kibaba mama Wakienda vitani sisi tuko nyumbani Aniteach inama inama, inama inama Naziwaume roho zao Naziwaume roho zao Naziwaume roho zao Naziwaume roho zao Kanipa sikio ananisikiliza Malumbano ndani hana Nimepitisha fagio na hawezi kuniliza Mashindano ndani hana Nimefundishwa na mama, kumlea bwana Akitakaga nyama, nampaga na tena Ananilete chumbani, nikoleze wangu hunnie Tunacheza kibaba mama, kibaba mama Wakienda vitani sisi tuko nyumbani Aniteach inama inama, inama inama Naziwaume roho zao Naziwaume roho zao Naziwaume roho zao Naziwaume roho zao