Magufuli

Magufuli 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数1
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Magufuli tunaruhusu uongoze Tulimwamini mwanzo ametufaa Leo dhahiri, mambo yote bayana Ooh magufuli, mtetezi wanyonge tunang'aa Amani, kadumisha komesha mizozo Ooh Magufuli, nakupa marks mia mia Baba yetu asante Umefanya uchumi upande Kama ruba tugande Tuwe wote Madini wenyewe tuyachimbe Elimu bora watoto wapate Kwa kweli Magufuli I love you Iokote! Moyo wangu kwa magufuli ameuchukua Iokote! Magufuli upo juu wananchi tumemchagua Iokote! Nitachagua maendeleo na mafanikio Iokote! Magufuli upo juu wananchi tumemchagua Madaraja ni nani atujengee (ni Magufuli) Kaboresha maji na umeme (ni Magufuli) Mwenye upendo na huruma tele (ni Magufuli) Uajasiri wa mali tumepata (kitambulisho) Anazingatia jinsia Piga kazi mama Samia Tanzania twajivunia Kuwa na wewe Huduma za afya ni bora Airport inang'ara ng'ara Bandari ziko juu milikama zote Sifa zake tummwagie Baba yetu asante Umefanya uchumi upande Kama ruba tugande Tuwe wote Madini wenyewe tuyachimbe Elimu bora watoto wapate Kwa kweli Magufuli I love you Iokote! Moyo wangu kwa magufuli ameuchukua Iokote! Magufuli upo juu wananchi tumemchagua Iokote! Nitachagua maendeleo na mafanikio Iokote! Magufuli upo juu wananchi tumemchagua