Niwe Nawe

Niwe Nawe 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数4
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Sijawai pata mrembo kama wewe (aah) Basi usijeleta vineno unizengue Sherry si unajua ninavyokupenda Tena si unatambua, tulipotoka far Sherry si unajua ninavyokupenda Tena si unatambua, tulipotoka far Nataka unipe nipe Mapenzi ya kweli Usinizengue niumie Nataka niwe nawe Nataka niishi nawe Nataka niwe nawe Wangu my beiby Nataka niwe nawe Nataka niishi nawe Nataka niwe nawe Wangu my beiby Upendo, wako tofauti na wengine Maskendo sijaona toka niwe na wewe Upendo, wako tofauti na wengine Maskendo sijaona toka niwe na wewe Mmh my beiby Nipe busu masiri waumie, tena mdomoni Mapenzi yetu yazidi, tuyaridhie Nataka unipe nipe Mapenzi ya kweli Usinizengue niumie Nataka niwe nawe Nataka niishi nawe Nataka niwe nawe Wangu my beiby Nataka niwe nawe Nataka niishi nawe Nataka niwe nawe Wangu my beiby Moyo utaniuma nisipokuona mama Moyo utaniuma nisipokuona mama Ndio maana nataka niwe nawe eeh Ndio maana nataka niishi nawe eeh Ooh Nataka niwe nawe Nataka niishi nawe Nataka niwe nawe Wangu my beiby Nataka niwe nawe Nataka niishi nawe Nataka niwe nawe Wangu my beiby