Show Show

Show Show 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数3
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Utafurahi show Aah aah Utafurahi show, utafurahi show Ooh, ooh Utafurahi show, utafurahi show Leta debe leta vanga katerina njoo njoo njoo Ngoma likikosa utaelewa show show Mswahili mwenzio tena ulijino Eti shepu ngongingo mi ndo bingwa vigodoro Tena queen wa upana sio samaki samaki Swinging yangu bichi kokokoko Nikisikia unaninanga naanzisha varangati Unyonge kwangu ni mwiko koko Hapa gusa una say Yaani sio lege lege Kisa nikupende Na we ndo ujifanye Uchebe Kosa sio kosa nikinuna, utafurahi show Nitake chips ulete nguna, utafurahi show Na yakutolea hujatuma, utafurahi show Nikikuchuna sina huruma, utafurahi show Ukikuta wanangu wa Temeke, utafurahi show Oya wahuni wa Tandale, utafurahi show Mabingwa mpaka Manzese, utafurahi show Ooh, ooh, utafurahi show Mwenzenu maneno yameguza nikakuwa Hata useme leo kesho kosa narudia Ni mzinga wa Konyagi haunitishi na hizo bia Kichwa ni kibwenzi sio miwigi kushonea Ayee ayee ayee mizuka imepanda Mtafute mumeo kabla kiza hakijatanda Ayee ayee ayee Bern piga kinanda Waamshe waamshe walo sanda wakalala Hapa gusa una say Yaani sio lege lege Kisa nikupende Na we ndo ujifanye Uchebe Kosa sio kosa nikinuna, utafurahi show Nitake chips ulete nguna, utafurahi show Na yakutolea hujatuma, utafurahi show Nikikuchuna sina huruma, utafurahi show Ukikuta wanangu wa Temeke, utafurahi show Oya wahuni wa Tandale, utafurahi show Mabingwa mpaka Manzese, utafurahi show Ooh, ooh, utafurahi show Ukuti, ukuti Mwenzenu, mwenzenu Na nini, na nini Wanakwenda kumia sasa Utafurahi show Utafurahi show Utafurahi show